Miradi Mipya

5
0

Sukuma Ndinga kali kwa Mkopo nafuu

No fee

Bluetick Technologies Ltd inakuletea mkopo wa gari wa kipekee ambao utawezesha ndoto yako ya kumiliki gari kutimia kwa urahisi na haraka.Faida za Mkopo huu:Masharti Nafuu: Masharti yetu ni nafuu na yanayoweza kumudu kulingana na kipato chako.Mchakato Rahisi: Kupata mkopo ni haraka na rahisi, unachohitaji ni kufuata maelekezo rahisi.Riba Nafuu: Tunatoa viwango vya riba vinavyoweza kumudu kulingana na hali yako ya kifedha.Jinsi ya Kuomba Mkopo:Bonyeza kitufe cha "Omba Mkopo".Jaza fomu ya maombi kwa usahihi.Subiri uthibitisho na maelekezo zaidi kutoka kwetu.

  • No Prerequisites Needed
1
0

Timiza Ndoto zako za kusoma ukiwa na Bima kutoka bluetick

No fee

Fanikisha NDOTO ZAKO ukiwa na Bluetick Education InsuranceBluetick inakuletea bima ya elimu inayolenga kutoa uhakika wa elimu bora kwa watoto wako kwa bei nafuu. Kwa kununua bima hii, unahakikisha kuwa ndoto za mtoto wako za kusoma zinatimia bila vikwazo vya kifedha.Faida za Bima ya Elimu ya Bluetick:Bei Nafuu: Pata bima ya elimu kwa gharama nafuu inayokidhi bajeti yako.Uhakika wa Elimu: Hakikisha mtoto wako anapata elimu bila kusumbuliwa na changamoto za kifedha.Msaada wa Haraka: Huduma bora na ya haraka pale unapohitaji msaada.

  • Barua Ya Mtendaji
2
0

Ujenzi wa nyumba za makazi

TZS600,000.00 - TZS 11,000,000.00

Uchoraji wa ramani za majengoMakadilio ya thamani ya ujenzi Usimamizi wa ujenzi

  • No Prerequisites Needed